HAKIKA NITAKUWA MCHOYO WA FADHILI NISIPOTOA SHUKURANI KWA WADAU WANGU MLIOFANYA KAZI KUBWA KUHAKIKISHA BLOG HII INAENDELEZA LIBENEKE KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE TANGU KUANZISHWA KWAKE MWAKA 2007 NA SASA IMEFANIKIWA KUFIKIA UKINGONI MWA MWAKA 2008 KWA NGUVU ZENU.
NAWASHUKURU SANA WADAU WOTE MLIOKUWA MKITOA MCHANGO WENU KATIKA MADA MBALIMBALI NILIZOKUWA NIKIANDIKA NA ZAIDI NAWASHUKURU WALE WALIOKUWA WANANIPA CHANGAMOTO MBALIMBALI KATIKA KILA NILICHOKUWA NAFANYA NDANI YA BLOG HII!
ASANTENI SANA KWANI NAAMINI BILA NYINYI BLOG HII HIVI LEO NINGEIFUNGA KWANI NI UKWELI ULIO WAZI KUWA BLOG ZIPO NYINGI LAKINI SI ZOTE ZINAWASOMAJI WENGI, LAKINI KWA SABABU ZA NYINYI BLOG HII IMEKUWA IKIPATA UMAARUFU MKUBWA KILA KUKICHA!
SHUKURANI HIZI PIA ZIWAFIKIE:-
ERIC JAMES SHIGONGO NA ABDALLAH MRISHO – THEY MADE ME WHO I AM!
CRISTERBELLER B. LYIMO,
VATIE TWISSA,
J. LINUS
Dorley chirazy
MATLIDA JOSEPH NA
KHADIJA MWANA PAMOJA NA WANAGLOBAL WOTE!
NAWAPENDA SANA!
Hopefully Santa will be extra good to you! Enjoy your holidays!
brazatk@2008
Tuesday, December 23, 2008
SHUKURANI ZANGU KWENU WADAU WANGU!
Monday, December 22, 2008
CHAGUA MESEJI UIPENDAYO YA X-MAS UMTUMIYE UMPENDAYE!
1. X-mas ndiyo hiyo imewadia dia, nina mengi yakukwambia lakini nashindwa kwakuanzia, zawadi toka kwako nazitarajia, boxing day itakapowadia nipate kujivunia, kwa zawadi kuzingua, nakupenda dia, xmass njema!
2. New is the year, new r the hopes and the aspirations, new is the resolution, new are the spirits and forever my warm wishes are for u.Have a promising and fulfilling christmas and happy new year
3. Siku mbili zimesalia mwokozi apate kuzaliwa, dunia nzima itasherehekea, mwokozi kuzaliwa, nami natarajia nyumbani utakaribia tupate kushangilia kwa mahaba kunipatia, nakupenda la azizi.
4. May your world be filled with warmth and good chear this Holy season, and throughout the year.Wish your christmas be filled with peace and love. Merry X-mas.
5. Mwaka unakatika toka ahadi umenipa, nisiwe na haraka penzi la dhati utanipa, kila siku ya mihadi ikifika sababu mpya unanipa ili mradi utamu usipate nipa, xmas ndiyo hiyo imefika nitafurahi kama utanipa, moyoni nitafarijika na machozi kunibubujika kwa huba utakayonipa!
6. I am dreaming of white Christmas , with every christmas card i write, May your days be merry and bright, and May all your christmases be white. Happy Christmas.
7. Toka tumelianza letu penzi sasa ni zaidi ya mwezi, namshukuru mwokozi kwa kunikutanisha nawe mpenzi uliyejua kunifuta langu chozi, kesho anazaliwa mwokozi kuja kulidumisha letu penzi, xmas daima itakuwa kielelezo cha letu penzi, happy xmas.
8. If one night you wake up and a big fat male is trying to put you in a sack please don't be afraid because i told santa all i want for christmas is you.
9. Najua uko busy na zako pilika ndiyo maana ulishindwa kazini kwangu kufika, mwaka ndiyo unakatika lakini penzi letu ndiyo linafufuka, amini penzi la dhati kwangu utalipata, najitoa kwako kama sadaka,happy xmas na happy new yr.
10. No wonder father christmas is so jolly, because he knows where all the bad girls live!
11. Siku zote ukweli nimekuwa nikikupa lakini wewe wautilia shaka, nimediriki hadi kuapa lakini nimeambilia kutoka kapa, sasa waisha mwaka jibu langu bado sijapata, tamaa bado sijakata penzi lako bado nalitaka! Merry X-mas
12. Before the sun sets, before the memories fade, before the networks get jammed and before I get blotto and loose my phone , I am wishing you a very happy and prosperous year.
13. May the good times and treasures of the present become the golden memories of tomorrow. Wish you lots of love, joy and happiness. MERRY CHRISTMAS
14. May the good times and treasures of the present become the golden memories of tomorrow.Wish you lots of love, joy and happiness. MERRY CHRISTMAS
15. Christmas is not a time nor a season, but a state of mind. To cherish peace and goodwill, to be plenteous in mercy, is to have the real spirit of Christmas
16. Lets welcome the year which is fresh and new,Lets cherish each moment it beholds, Lets celebrate this blissful New year. Merry Christmas
17. Joy resounds in the hearts of those who believe in the miracle of Christmas! Wishing you all the peace, joy, and love of the season! Season's Greetings!
18. A Christmas candle is a lovely thing; It makes no noise at all, But softly gives itself away; While quite unselfish, it grows small.
19. May this Christmas end the present year on a cheerful note and make way for a fresh and bright new year.Here's wishing you a Merry Christmas and a Happy New Year!
20. May your world be filled with warmth and good chear this Holy season, and throughout the year.Wish your christmas be filled with peace and love. Merry X-mas
21. I hope you have a wonderful christmas I hope you have a wonderful christmas . have a great new year ! Hopefully santa will be extra good to you . enjoy your holidays !
Wednesday, December 10, 2008
KAA MKAO WA KUFAIDI MESEJI KALI ZA MAPENZI KWA TSH 1500/-tu
WADAU WANGU! NASHUKURU KWA WALE WOTE WALIOTO TSH 1500/- ZAO KUNUNUA JARIDA LA CHOMBEZA TIME LILILOKO MITAANI HIVI SASA, KAMA HUJAPATA NAKALA YAKO WAHI SASA!
NDUGU ZANGU WAPENDWA KWA HAKIKA HAKUNA ASIYEPENDA KUTUMIWA MESEJI NZURI ZENYE KUAMSHA HAMASA KAMA SI MUWASHAWASHA WA MAPENZI NA KUMFANYA YOYOTE AISOMAJE AHISI KWELI ANAPENDWA, BASI KWA KUTAMBUA HILO, BRAZA TK KWA MARA NYINGINE TENA NADONDOSHA JIWE JIPYA MTAANI LAKINI HIVI SASA LIKIWA LIMESHEHENI MESEJI KALI ZA MAPENZI AMBAZO ZITAKUWA KWA LUGHA YA KIENGEREZA NA KISWAHILI KILA KUWAWEZESHA WASOMAJI WANGU WANAOJUA NA WASIOJUA LUGHA MOJAWAPO KUPATA KITU ROHO INAPENDA!
NB: KATIKA JARIDA HILI NUSU YA MSG ZITAKUWA ZA KISWAHILI NA NUSU ZA KIINGILISHI WAJAMENI NA KWA WALE WATAKAOPENDA ZA KIMOMBO LAKINI WAKASHINDWA KUJUA MAANA BASI WATAPEWA UPENDELEO WA KUULIZA NA KUELEZWA MSG HIYO INAMAANISHA NINI!
NAKARIBISHA MAONI YENU KWENYE NO. 0715 888 887 AU brazatk@yahoo.com
Friday, December 5, 2008
MARAFIKI/WACHUMBA
Waweza kumwandikia email ama kumpigia simu rafiki ama mchumba aliyekuvutia, kumbuka kama unahitaji rafiki ama mchumba kupitia bklog hii unaweza tuma maombi yako kwa email hiyo hapo pembeni kwenye maelezo ya braztk nami nitabandika ombi lako hapa
Mkumbuke Jafu
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo mcheshi,mpenda maendeleo,mcha mungu,hana maringo, umri 18-25,elimu kidato 4 nakuendelea.
Wasifu wake na vitu anavyopenda Minmi jinsia yangu ya kiume,mwanafunzi wa open university na vile2 ni mfanyakazi serikalini,napenda kusoma vitabu
Nchi anayoishi sasa Tanzania
Email mjafu@yahoo.com
Simu yake o752266063/0713960751
Sababu ya kutafuta ni kuwa na mwenza wangu
mussa rashid
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo a beautiful one.elimu kuanzia form 6.color maji ya kunde mrefu kiasi unene wa wastani
Wasifu wake na vitu anavyopenda napenda football.mziki haswa hiphop.elimuniko 1yr nachukua BBA.mrefu ft6 mwembamba wa wastani
Nchi anayoishi sasa arusha tanzania
Email rashidmussa60@yahoo.com
Simu yake 0756402662 or 0714969861
Sababu ya kutafuta ni wa maisha
abdul jumbe
Umri wake 26-32
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Mwembamba c sana awe amejaa kiac kiunoni,mrefu,mweusi.Awe angalau amefika kidato cha 4.Awe muslim,ama awe tayari kubadilika kutoka alipokuwa.
Wasifu wake na vitu anavyopenda Color.Brown,Height 5.3ft
Nchi anayoishi sasa kenya
Email abdul.jumbe@yahoo.com
Simu yake +254735856866
Sababu ya kutafuta ni kuwa asali wa moyo
JOHN
Umri wake 40-50
Umri wa anayemtafuta 32-40
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo RAFIKI WA KUDUMA VILE VILE INAWEZEKANA KUWA MCHUMBA
Wasifu wake na vitu anavyopenda UMRI WA MIAKA 40 MREFU WA WASTANI MAJI YA KUNDE KWA RANGI NATAFUTA RAFIKI WA KIKE TOKA TANZANIA JINA LANGU JOHN NAISHI LONDON MZALIWA WA ARUSHA
innocent urasa
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo nataka rafiki wajinsia yoyote wakubadilishana nae mawzo nakujuana zaidi!
Wasifu wake na vitu anavyopenda napenda kuangalia mpira,movie nakusoma vitabu{novels}
Nchi anayoishi sasa malaysia
Email iurassa@yahoo.com
Simu yake +60172124502
Sababu ya kutafuta ni kujuana zaidi
Nchi anayoishi sasa UK
Email JOEKAL52@YAHOO.COM
Simu yake +4407947204286
Sababu ya kutafuta ni URAFIKI
chuku
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Natatuta rafiki wa kike,napendelea zaidi awe mbongo toka sehem yeyote na alie sehem yeyote Duniani.
Wasifu wake na vitu anavyopenda elim chuo,napeda kuchart na marafiki ila wawe wakweli tu.
Nchi anayoishi sasa uturuki
Email zchuku@yahoo.com
Simu yake akihitaji
Sababu ya kutafuta ni kubadilishana mawazo.
Ben Nyanjui G
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo msichana mrefu kama 5ft,si mkonde au mnene asiye mweusi,mchangamfu sana halafu mkenya
Wasifu wake na vitu anavyopenda mvulana mchangamfu,sinywi pombe wala kuvuta sigaramimi mkenya,6ft.nafanya kazi Sudan.napenda sana mpira(kutaza na kucheza).
Nchi anayoishi sasa Sudan
Email bennque@yahoo.com
Simu yake +249922881247
Sababu ya kutafuta ni Mke
Marc .M
Umri wake 26-32
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Mtu makini, mwelewa,hasa anayeona mbali kuhusu maisha na falsafa zake. Ni vizuri mtu huyo akawa ni mpenda maendeleo hasa ktk sekta ya elimu.
Wasifu wake na vitu anavyopenda Muhitimu wa Chuo Kikuu na Mtumishi wa serikali/ Muungano.
Nchi anayoishi sasa Zanzibar_Tanzania
Email macmhagama@yahoo.com
Simu yake +255715018343
Sababu ya kutafuta ni kujenga mahusiano
Ibra Ali
Umri wake 32-40
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Awe mse kweli,bikira,mwislamu, awe anaswali.kabila lolote awe anajuwa namna ya kumridhisha mumewe kimapenzi.awe mwaminifu.
Wasifu wake na vitu anavyopenda mimi ni msomali nimezaliwa Tz,naishi Denmark
Nchi anayoishi sasa Denmark
Email Ibrahim2640@hotmail.com
Simu yake baadaye
Sababu ya kutafuta ni ndoa ya halali
Mohammed M. Haji
Umri wake 32-40
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Natafuta rafiki wa kikemwenye umri kati ya miaka 18 na 34
Wasifu wake na vitu anavyopenda elimu yangu ni Advanced diploma in Electrical Engineering Napendelea kusoma zaidi na kutembeleana
Nchi anayoishi sasa Tanzania, Zanzibar
Email edimhaji@hotmail.com
Simu yake 0777 215 565
Sababu ya kutafuta ni Rafiki wa kusaidiana kimawazo hasa katika maisha na masuala ya elimu
