
WADAU KWA TAKRIBAN WIKI KADHAA NIMEKUWA KIMYA, NAOMBA KUWAELEZA KUWA UKIMYA HUU ULIKUWA NI MAANDALIZI YA JARIDA LA CHOMBEZA TIME AMBALO KAMA KAWAIDA YAKE HUSHEHENI MESEJI KALI ZA MAPENZI NA SAFARI HII LIMEONGEZEKA KURASA ILI KUKUPA WEWE MSOMAJI WANGU UHONDO ZAIDI!
HATA HIVYO, NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAJULISHA KUWA CHOMBEZA TIME LIMEJIFUNGUA JARIDA LINGINE LINALOKWENDA KWA JINA LA CHACHANDU LA LEO TENA AMBALI LITAKUWA TOFAUTI NA CHOMBEZA TIME LAKINI DHAMIRA ILE ILE YA KUELEIMISHA WATANZANIA WENZANGU HKUHUSU MAPENZI,UHUSIANO NA NDOA.
kIMSINGI JARIDA HILI LINAKUJA NA MASUALA YA MAPENZI KAMA KAWAIDA LAKINI YATAKAYOKUWA KATIKA MTINDO TOFAUTI KWANI NDANI YAKE UTAWEZA KUKUTANA NA MADA KALI ZA MAPENZI, MESEJI ZA MAPENZI, USHAURI WA MAPENZI, SIMULIZ ZA CHUMBANI [KWA WAKUBWA TU] KAMA MTOTO ITABIDI USISOME SAFU HIYO, UTAKUTANA PIA NA SIMULIZI ZA KWELI ZA MAPENZI NA MIKASA MBALIMBALI YA MAPENZI NA NDOA
ZAIDI YA YOYE UTASOMA JINSI GANI MASTAA WANAKABILIANA NA MATATIZO YAOP YA MAPENZI KWANI KAMA MNAVYOELEWA MAPENZI YAMEGUBIKWA NA MIGOGORO YA HAPA NA PALE INAYOSABABISHWA NA WIVU WA MAPENZI HIVYO BASI, KUPITIA SAFU HII PENGINE UTAJUA JINSI GANI GEA HABIBU, DINA MARIOUS, MIRIAM ODEMBA, RICHARD WA BIG BROTHER, MASOUD WA KIPANYA AU SITAA YOYOTE YULE KWANI ITATEGEMEANA NA UTAYARI WA STAA HUYO ATAKAYEFUATWA!
CHACHANDU LA LEO TENA LITAKUWA FULL BURUDANI KWANI WALE WAPENZI WA MARAFIKI NA WACHUMBA WATAPATA WASAA WAKUCHAGUA WACHUMBA KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA PIA WAKUCHAGUA WALE WAWAPENDAO!
HAKIKISHA HUKOSI MAJARIDA HAYA MAWILI YATAKAYOKUWA MTAANI MWISHO WA MWEZI HUU AU WIKI YA KWANZA YA JANUARI KWA BEI YA TSH 2000/- TU !
picha ya kava ya chombeza ipo kwenye makala zilizopita
usikose majarida haya mawili yatakayokuwa mitaani hivi karibuni!
Monday, January 5, 2009
MWAKA MPYA MAMBO MAPYA!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Ahsante sana bro kwa mambo yako mazuri. Ila nakuomba unijulishe, mimi niko ughaibuni(Canada) je naweza kupata vipi nakala za chombeza time na Chachandu? email yangu tafadhali naomba uniwekee kapuni (pls only for ur information) - fatmas786@gmail.com
Nashukulu kwa meseji zako nzuri za maaba zimenisaidia nampenzi niliekuwa nimegombana nae sasa tunaelewana
Hongera brazatk for this great achievement. Cheers and best wishes braza.
fs
Post a Comment
TOMA MAONI YAKO HAPA!