Wednesday, March 25, 2009

Luv sms Bombaaaaaaaaa!!!

1. Naijutia nafsi yangu kukupenda kwanini nilikutamkia na penzi nikakupatia, najiona mwenye hatia kukufunulia nikiamini mahaba na mapenzi ya dhati utanipatia lakini siku zinavyozidi jongea nahisi muda wangu wanipotezea, nahitaji kujua nini baina yetu kinaendelea?

2. Hivi ni lini utanipa nipate farijika mpenzi nimechoka na hadithi kila siku unazonipa ipo siku penzi utanipa, mwenzio nataabika na hamu iliyotukuka, nitafurahi ukinipa nipate liwazika, naomba uhakika kama kweli wikiendi utanipa, Nakupenda

3. Mahaba unayonipa hakika nafarijika, mpenzi niliyemtaka hakika nimekupata, kiu yangu wajua kuikata, kuwa nawe hakika nimeukata kwani wajua kunipa bata! Luv u, mwaah

4. Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda??

5. Hivi kweli haya ndiyo mapenzi ama naota njozi? Nimefanya kila naloweza kuliimarisha letu penzi lakini naishia kuambulia majonzi, nimekuwa mtu wa kububujikwa na machozi kwa sababu ya lako penzi, kama nimekukosea tafadhali niwie radhi mpenzi, nakupenda na amini wewe pekee ndiye uliyetimiza ndoto yangu ya mapenzi.

6. Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!!

7. Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!!

0 comments:

Post a Comment

TOMA MAONI YAKO HAPA!