Naitwa: Nancy
Umri wangu: 26
Umri wa ninayemtafuta: 30 - .......................45
Jinsia: Mvulana
Sifa: Awe mweupe, mrefu kiasi,mwembamba kiasi, mzuri, Mwaminifu, anayemcha MUNGU anayependeza mavazi zote yale hasa jeans, Awe mwajiriwa, Mkristu. Awe tayari kupima AIDS.Aliye tayari awasiliane nami kwa email hapo chini.
Wasifu wangu: Maji ya maharage, mrefu kiasi pia ni mwajiriwa
Nchi ninayoishi:Tanzania
Email: glowims200@yahoo.co.uk.
Sababu: Kuoana na kuishi maisha yanayompendeza MUNGU
Monday, May 18, 2009
Nancy anatafuta mchumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Habari ndugu Mwakilaga! Mmimi ni mdau mpya ambaye ndio nimeanza tu hivi karibuni kutembelea blog yako kama mwezi sasa umepita tangu nimeanza kutembelea blog yako.
Kwanza nakupa hongera kwa kuweza kutuletea mambo ambayo ni nadra sana kuyapata mahali pengine,mambo ambayo yanaweza kuleta utamu wa aina yake,furaha na maelewano ya daima ndani ya ndoa zetu.Ila kwa muda wote huu sijaona mambo mapya kabisa,au huenda labda umekata tamaa kwa vile wadau hatutoi coments zetu? Lakini kwa kukutia moyo tu ni kwamba wengi tunaogopa sana kutoa coment nasio kwamba hatutembelei blog yako.Mimi binafsi nimefaidika sana na blog hii kwa muda huu mfupi niliotembelea.Keep up don't quit for we desire more.
Vipi mzee mbona kimya?
wewe una lako jambo wala haumtafuti MCHUMBA,kwani vigezo hivyo wewe unavyo.!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Post a Comment
TOMA MAONI YAKO HAPA!