Naitwa Vummy umri miaka 27, wa Arusha natafuta marafiki wa kiume kwa lengo la urafiki wa kudumu baadae uchumba, elim kuanzia form 4 kuendelea,mimi ni Professional wa Secretary, awe mkristo aliyekamilika na mcha Mungu. Tuwasiliane kupitia e- mail yangu na baadae nitatoa mawasiliano.
Michael in tabora, a 2nd yr student at saut in mwanza naandika mail hi nikiwa nimekata tamaa kabsa,nilikuwa na girlfriend lakin ckuweza kudumu hata na mmoja,wa kwanza baada ya mimi kuingia kdato cha 5 na 6 niliondoka nyumban kwa mud,natumia nafasi hii kuomba binti yoyote aliye tayari kuwa nami aniandikie mail: bodachogo@gmail.com
Naitwa Mbeki ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa TZ natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 18-24,awe naelimu sio chini ya form six ili tuweze kujipanga kimaisha,asiwe mchaga wala mhaya,asiwe mnene wala mwembamba wa kutisha,awe mrefu wastani,sura ivutie kidogo maana na mimi kidogo inavutia! kama vipi ani-sms au kupiga 0713-751192 ila asini-miss call akishindwa apitie (hussembekidj@yahoo.com)
Umri: 27
Jinsia: mume
Kabila: mhaya
NAITWA HAWA MSANGI
UMRI MIAKA 23
UMRI NINAYEMTAFUTA NI 27- 40
JINSIA . MWANAUME
SIFA. AWE MKWELI, MWAMINIFU, MCHESHI, MVUMILIVU, AWE TAYARI KUPIMA VVU.
WASIFA WANGU NI MFUPI , MWEUPE,MNENE
ALIYE TAYARI TUWASILIANE NO. 0717196637
naitwa rajabu wa temeke, mvulana wa mika 25, natafuta msichana kiislam awe mchumba wangu ,awe na miaka 18-21, awe mfanyakazi ,biashara au awe na ufundi wowote aliye tayari apige 0717 320969
Natafuta rafiki wa jinsia ya kike, awe na umri kati ya miaka 15-30. awetayari kuchati nami.dhumuni ni kuanzisha uhusiano wa kimapenzi. umri wangu ni miaka 18-30.email address sebastianmasanja1992@yahoo.com
Jina: RASHID
Jinsia;Mwanaume
Umri;33
Unapoishi;Dar es Salaam
Nchi: Tanzania
Email; xmambo@hotmail.com
@@@@
MAELEZO:
HABARI YAKO ! NISIKILIZE MDADA MIMI NIPO SERIOUS NATAFUTA MCHUMBA MWENYE SIFA ZIFUATAZO :-
1. AWE NI MWALIMU WA SHULE ZA CHEKECHEA
2. AWE NI MUISLAM
3. UMRI KUNZIA MIAKA 18 HADI 28
4. UREFU KUANZIA FUTI TANO
5. AWE NA UMBO LA WASTANI (SI MNENE SAAANA )
6. AWE NA NGOZI MAJI YA KUNDE AU NYEUPE LAKINI SIO NYEUSI TII
7. AWE ANAISHA DAR AU KAMA BADO YUPO CHUONI HAINA TABU
8. ELIMU YAKE IWE NI KUANZIA KIDATO CHA NNE
9. AWE NI MWENYEJI WA KANDA YA KASKAZINI
MSICHANA MWENYE SIFA HIZO NAOMBA TUWASILIANE HARAKA, KWA KUANZIA KUPITIA EMAIL: xmambo@hotmail.com
Jina:Hafidh
Umri:28
Jinsia:M
E-mail: hafizsy@yahoo.com
Kazi :Muajiriwa
Anapoishi:Zanzibar(Tanzania)
Namba ya cm :Baada ya mawasiliano.
Anatafuta marafiki wa kuchat nao,mwenye sifa zifuatazo:-
Awe muaminifu,mpole,na mpenda maendeleo.
naitwa James nina miaka 31 kwa sasa, nina tafuta mchumba wa kuishi naye kwa sasa na kisha ndoa.
Mimi nina umbo la wastani tu yaani sio mrefu sana mnene sana
Awe wa rangi yeyote mzuri, asiwe mnene saaaaanaaaaa. Mwaminifu, anayemcha MUNGU anayependa kuvaa mavazi ya heshima, Awe na Elimu angalau Chuo Kikuu, Mkristo. Awe tayari kupima UKIMWI, asiwe yule anayependa kuficha ficha mambo yake, awe mpenda watu wa familia zote za pande mbili, awe mcheshi (yaani asiwe na hasira hasira zisizokuwa na mpango) mpenda maendeleo, na ambaye yuko tayari kuwasiliana na kuishi na mimi hivi karibuni
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 natafuta mchumba mwenye miaka 28-32 elimu kuanzia chuo kikuu, mimi nina stashahada na nimeajiriwa serikalini nampenda mtu mwenye maendeleo na asiwe mvuta sigara wala mnywa pombe sana email yangu ni isabelasamwel@yahoo.com
naitwa miriamu samwel nina miaka 26 natafuta mchumba mwanaume miaka kuanzia 28 mpaka 32 elimu kuanzia chuo kikuu,mkristo na mpenda maendeleo, mimi nina stashahada na nimeajiriwa smiriamu@yahoo.com
Hi!
Naitwa Emmanuel wa Iringa natafuta marafiki wa kuchat na kuwasiliana wakike na wa kiume popote walipo Duniani.
emmanuelmville@yahoo.com /or Emmanuel.Mville@unilever.com
Jina: Juma
Umri: 25
Jinsia niitakayo: Msichana
Natafuta: Rafiki/Mchumba
Mahali nilipo: Morogoro, Tanzania.
Elimu: Kidato cha sita (PCM)
Sifa za mwanamke:
Namtafuta mwanamke mcha Mungu mwenye Umri kati ya miaka 18-25, Awe tayari sote wawili kupima afya pamoja na UKIMWI, Awe tayari kujiendeleza kielimu zaidi ya elimu aliyonayo, Awe mpenda maendeleo, kupenda tigo ni sifa ya ziada muhimu sana. Ambaye yuko tayari tuwasiliane kupitia jumamahamba@live.com
Ninafanya kazi Morogoro.
Nitatoa namba ya simu nikijibu Email yako. Natafuta mtu aliye serious kwa urafiki na uchumba, na ambaye hana kashfa kashfa za ngono.
Simu yangu nitaitoa baadaye
Hi,naitwa Salim najitokeza kutafuta Girlfriend ambaye mwishowe uwe ni ndoa. Awe na umri wa 17-20. Awe muislam au hata mkristo ila mi ni muislam. Napendélea ucheshi na utani kwa sana. Nitafurahi sana nikimpata na ninaomba awasiliane nami kwa namba hii 0753496270
Au kwa email ambayo ni
sirlimtz@yahoo.com
Naitwa francis gasper wa moro town umri miaka 25 kwa mara ya kwanza najitokeza kutafuta marafiki jinsia zote longo kucheka na kufurahi pamoja kwani sisi sote tumetoka kwa mungu mmoja pia kubadilishana ujuzi wa kimaisha mawasiliano francisgasper@ymail.com .0757735833
Naitwa saraphina umri wangu ni miaka 19 niko mkoani arusha natafuta marafiki wa kike na wa kiume kokote ulimwenguni.vitu ninavyopendelea ni pamoja na kusoma magazeti,michezo na kusikiliza nyimbo za dini.email yangu ni sarambwambo@yahoo.com,namba ya simu ni 0719799008
mambo vp mimi ni naitwa faraj mohamed naishi dsm nina umri wa miaka 22 natafuta mchumba wa kike kigezo awe na miaka 18 mpaka 22 sibagui rangi wala dini na awe mwembamba na mrefu tuwasiliane kupitia 07144308 au african_giant2008@yahoo.com
Sunday, July 26, 2009
MARAFIKI NA WACHUMBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
TOMA MAONI YAKO HAPA!