Naitwa Eric Esron Mungere Naomba ombi langu hilo liondolewe kwenye orodha ya wanaotafuta uchumba maana nmeshampata wangu na tuko mbioni kufunga ndoa mwaka ujao July,2010! kwani nazidi kupata usumbufu sana! Ahsanteni,
Stay Blessed
HONGERA ERIC
nawakaribisha wadau wengine pia waliowapata hao wachumba wasisite kuutangazia umma kama ndugu yangu hapa alivyofanya, zaidi nitaomba uniambie post ilikuwa ya tarehe ngapi ili niitoe na ufurahie mapenzi yako na umpendaye!
Asante sana,
Till then,
tk
brazatk@yahoo.com
Wednesday, September 23, 2009
NIMEMPATA NIMPENDAYE NATAKA FUNGA NAYE NDOA JAMANI SIHITAJI MWINGINE!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
tulizo kilaga tunataka kuona mabadiliko kwenye blog yako hususan utalii na nk na si mahaba mahaba yanaboa
Post a Comment
TOMA MAONI YAKO HAPA!