Tuesday, September 29, 2009

marafiki na wachumba

Naitwa Sophia,mimi ninatafuta mchumba ambaye yuko serious
Nimechoka kuishi maisha ya kipweke.Nchi niyoko ni Tanzania,ni mdada niliyetulia ila sijabahatika kuolewa.Ninafanya kazi kwenye Ngo moja.
Nahitaji mwanaume mkweli.mpole,mwenye upendo,mcha mungu,mrefu handsome wa sura na moyo. umri kati ya 28 na 35.
Awe ni mkristo.Pia awe na kazi inayompatia kipato.
Aliyetayari na mwenye sifa ninazozihitaji tuwasiline kupitia email hii: schristian73@yahoo.com au simu no.0713 301951.

amani ikufikieni nyote mliopo huko najitokeza kutafuta mchumba wa mda mrefu na marafiki
Jina :juma
napoishi: zanzibar
umri 25
rangi mweupe
jnsia nayoitaka mwanamke
mawasiliano:+255652081241 au joy2008pleasure@yahoo.com
sifa nazozitaka sibagui dini rangi wala kabila alieteyai kupewa mapenzi matamu na utulivu wa nafsi na kubadilishana mawazo
ahsanteni

naitwa Sest john wa Dar, nina miaka 32, natafuta msichana wa kuoa mwenye umri usiozidi miaka 28, asiyetumia sigara, awe mwaminifu na mcha Mungu. awe na elimu kuanzia f4. Elimu yangu ni chuo. aliye tayari tuwasiliane kupitia jamy2001@live.com au simu 0655900203.

Naitwa Nance,natafuta marafiki wa kuchart nao,ila wawe wacha Mungu wakristo.Umri kuanzia 26-31.Karibuni tubadilishane mawazo.
Email: netibawa@yahoo.com and My no 0756587977.


Naitwa mr kaaya natafuta marafiki wa kuchati nao popote pale.Mimi ni mtanzania nina umri wa miaka 23,sibangui kabila wala rangi.E-mail yangu naimaniine@yahoo.co.uk .Ni mwalimu wa shule ya msingi.Niko mkoa wa kagera wilaya ya ngara

mimi masoud mwemanga ni kijana mwenye umri kati ya18-25 natafuta mchumba popotete pale dunuani kigezo angalau awe amehitimu kidato cha nnem namba ya simu na mengineyo 2tazungumza kupitia mail yangu hiyo. asante. <myusuf84@yahoo.com

Mimi zerober.Samahani jamani email yangu ni Mteule89@yahoo.com.Jamani nimesema sihitaji mpenzi.Na kama akijitokeza awe na sifa zifuatazo:mlokole,miaka 16-18.Maji ya kunde asiwe mnene wala mwembamba(size ya kati) mzuri wa sura.Anayejituma ktk masomo na mpenda maendeleo zaidi.Asiwe mnafiki awe mkweli ktk kila jambo awe na mapenzi ya kweli.Mimi nitampa mapenzi ya dhati na kushirikiana naye kimaendeleo.Nina miaka 20(mwanafunzi)ninayejituma kwa bidii zote,mimi siyo mnene wala mwembamba,urefu wangu ni wa size ya kati na mwisho kabisa nimeokoka-mcha Mungu.Sitoi namba ya simu ila kwa huyo tu mwenye hizo sifa.

Eva wa Dar
, natafuta mchumba, awe mcha Mungu, awe na umri kati ya miaka 25 -28, aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0766 033612


Kama wahitaji rafiki ama mchumba usisite kutuma ombi lako kwenda kwenye email: brazatk@yahoo.com

Thursday, September 24, 2009

JINSI YAKUJIANDAA NA SEX PATI 1& 2


Hakika ni muda mrefu tokla brazatk mada jamvini kuandika mana zaidi marafiki na meseji za mapenzi ndizo nilizokuwa nabandika, lakini leo nimeamua kuadnika sehemu ya pili ya mada hii ya jinsi ya kujinadaa na mapenzi ambayo niliahidi kuimalizia bila kufanya hivyo.

Mada hii niliiandika na kuishia njia lakini leo nimeimalizia na ili kuwanufaisha wadau wote waliowahi kuisoma na ambao hawajawahi kuisoma nimeanza na sehemu ya kwanza na kisha kuendelezea sehemu ya pili na ya mwisho ili kila atakayesoma apate kuelewa!

Nakutakia usomaji mwema mdau wa blog hii na usisite kutoa maoni yako ama kuuliza chochote kuhusiana na masuala ya yote ya blog hii.


Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza!

Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.

Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo ya mwanaume itaendelea.

Kunahatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila wakutanapo!

Hatua ya kwanza ni kusameheana:
Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!

Hivyo basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza tofauti, ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa mtakuwa mmemalzia tofauti zenu.

Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba:
Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanya wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza safari yenyewe!
Michezo hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao, hivyo ili wapendanao waweze kufika mwisho wa safari pamoja na kila mmoja alidhike na udereva wa mwenzake uliowafikisha safari yao lazima watumiye muda wakutosha katika michozo yakimahaba!

Hata hivyo kila mmoja wenu anapaswa kuujua mwili wa mwenza wake. Mwili wa mwanaume ni rahisi kuuelewa kwani una sehemu moja kuu ambayo ni kama kiini cha muhemko na msisimko wa mapenzi. Sehemu hiyo ni uume. Hivyo endapo mwanamke yoyote atatumia muda wakutosha kuhangaika na sehemu hiyo basi mambo huwa safi kwa upande wa mwanaume.

Mwili wa mwanamke una shughuli pevu kubaini sehemu zenye ambazo huamsha hisia za mapenzi na ndiyo maana wanaume wengi hushindwa kuwafikisha mwisho wa safari wapenzi wao. Kiini cha hisia za mapenzi kwa mwanamke ziko kwenye kipegere G (namaanisha critoris wadu, haya ni mambo ya infenizimu tu). Kipegere G kipo nje ya uke ambapo wataalamu hudai kuwa kipo sentimita 4 kutioka ukeni.

Wanaume wengi wanaelewa hili lakini walio wengi wamegubikwa na imani potofu kuwa, kwa kuingiza kidole ukeni watafanikiwa kuinua hamasa ya za wenza wao kutaka kuanzisha safari jambo ambalo si kweli, kwani wanawake wengi hujisikia vibaya kuingizwa vidole ukeni kutokana na ukweli kwamba kucha zinabeba uchafu na bakteria wengi ambao huwasababishia kupata fangasi!

Hivyo basi, endapo wewe ni miongoni mwa wanaume waliokuwa wakiaminin dhana hii nataka nikujulishe kuwa, ukitaka kumpa msisimko uliotukuka mwenza wako usiangaike kuingiza kidole chote ukeni badala yake hakikisha unatumia kidole chako (hakikisha si kikavu) kucheza na sehemu ya nje ya uke ambapo utakutana na kipegere G na lips za ndani. Hata hivyo usisahamu kuhangaika na uke pia lakini hasa shughulika na sehemu za nje!

MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:-

Sehemu ya juu:

Wanume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa mwanamke yaani kunako na kuanza ama kupapasa kwa kidole chake ama ulimi na baada ya sekunde chache huanza kumwingilia mwanamke, lakini mwanaume mwenye kumjali ampendaye na mwenye nia hasa yakumfikisha kwenye kilele cha raha huwa hana papara huhakikisha anamhagi na kumpiga mabusu sehemu ya juu ya mwili wake yaani mdomoni, shingoni, kwenye matiti, chuchu etc.

Hata hivyo, si wanawake wote wako sawa, kuna amabo hufurahia kutomaswa maziwa yao huku wengine wakichukizwa kutokana na sababu mbalimbali kwa mfano kama mwanaume ni mtu wamitungi ama mvuta sigara mara nyingi kinywa chake hutoa harufu mbaya hivyo huwa vigumu kwa mwanamke asiyependezewa na matumizi ya vitu hivyo kufurahia kupigwa denda!

Kimsingi mwanamke kama kweli unampenda mpenzi wako na unataka ufurahie majambozi anayokupa hakikisha unakuwa muwazi kwa kuanza na kumuonyesha sehemu zinazokupa hamasa ya kufanya mapenzi, si lazima ushike mkono wake na kuupeleka kunako hiyo sehemu!

Hakikisha pindi mwanaume anapokugusa sehemu inayokusisimua unamwonyesha wazi kuwa hapo unasikia utamu yaani kama miguno ilikuwa haitoki hakikisha inaanza toka, kama pumzi zilikuwa zatoka kawaida basi zianze toka isivyo kawaida, nachomaanisha hapa ni kuwa unapaswa kuonyesha umepagawa kwa raha unayopata basi kwa mwanaume aliye kamili hatasita kuishughulikia kikamilifu sehemu hiyo!

Sehemu ya chini:
Baada ya kumtomasa kiasi cha kutosha sehemu ya juu ya mwanamke, mwanamke huhitaji kutomaswa sehemu ya chini na hapa ndipo ambapo unaweza kuhisi anataka kuingilia mana huanza ama kujishikasiika sehemu za chini ama hukupeleka maeneo yake nyeti upate kumwingilia kwani huwa amehamasika na ilim kujua kama amaehamasika basi uke wake huwa unamajimaji ambayo hutoka kwa ajili ya kulainisha nyia ya kupita bwanamkubwa yaani uume.

Hata hivyo, ili mchezo uwe mtamu mwanaume anapaswa kuhakikisha anatumia dakika kadhaa kuuchezea uke na kufuatia kinena. Hapa ieleweke kuwa kuna wanawake baada ya mizuka kuwapanda hutokwa na majimaji mengi sehemu zao za siri hivyo endapo mwanaume ukikutana na hali hiyo usishutuke jua mzuka imempanda mpenzi wako tu na si vinginevyo!

Katika kuchezea sehemu zake za siri mwanaume anapaswa kujua kuwa kuna wanake wanapenda chezewa kinena pekee na wengine hupenda mwanaume atumie ulimi ama akidole chake (kisiwe kikavu) kuingiza ukeni huku kidole kingine kikitomasa kinena hali inayomsisimua mwanamke. Hivyo mwanamke anapaswa kuwa muwazi nini anapenda kufanyiwa!

Katika kipindi hiki mwanamke naye anatakiwa kutoa ushirikianao wa miguno na viuno vya hapa na pale kuashiria anapata raha na asisahau mptomasa mwanaume, lakini ikumbukwe kuwa mwanaume ana sehemu kuu moja inayomtia wazimu ambayo ni uume wake hivyo ni rahisi kwa mwanaume kufika mshindo hata kabla ya tendon a hapo ndipo tatizo huibuka kwani wengine baada ya tendo moja huwa hawana uwezo wakurudia mzunguko wa pili!

Nini mwanaume anapashwa kufanya sasa ili kuhakikisha hamalizi mzungoko haraka?
Anapaswa kuwa muwazi kwa mwenza wake endapo mwenza wake atakuwa anamshika sehemu ambayo inamnyegesha sana na kumfanya ajisikie kumaliza biashara basi amueleze wazi kuwa aiache sehemu hiyo kwa muda ili uweze kudumu kunako majambozi!!

Hata siku moja msifanye mahaba kimya kimya! Simaanishi mpige mikelele hadi iwe kero kwa majirani na nk, elezenaneni kwa sauti za mahaba nini kila mmoja wenu anapenda mwenzi wake afanyiwe na mwenza wake.

Hatua ya tatu:

Kuingiliana kimwili
Mwanaume anapaswa kuahkikisha amasa za mapenzi za mwanamke zimeamka kabla ya kumwingilia. Wanaume wengi kutokana na papara hujikuta wanawaingilia wenza wao hata kabla hawajahamasika na hatimaye kumaliza tendo pasipo kuwafikisha kileleni na hili ni tatizo la kawaida kwa wapenzi wanaokutana kwa mara ya kwanza na has amwanamke akiwa na zile nataka sitaki yani atasumbuana na mwanaume weeeee na hatimaye hadi dume lifanikiwe kumwingilia kimwili inakuwa kama mbakano tu!

Hivyo basi, mwanaume unapaswa kujua kweli mpenzi wako yuko tayari kwa tendo la ndoa na utajua kwa kungalia kwanza mashavu ya uke wake kama yamekakamaa na kuongezeka ukubwa huku kinembe chake kikionyesha kukaza na mwanamke akifikia hali hii basi mwanaume huweza kuingiza uuume wake ambao umesimama kiurahisi kwani kuta za uke zitakuwa na ute unaoteleza huku uume nao ukiwa na ute unaotoka sehemu ya mbele kabisa hali inayowafanya wapendanao kufurahia tendo kwani hawataumizana!

Huu ni mwisho wa mada hii ya kujiandaa na majambozi, lakini mada hii itakuwa haina mana endapo mwanaume utashindwa kumfikisha kileleni umpendaye. Hivyo usikose kusoma mada ijayo ya jinsi gani mwanaume anaweza kumsaidia mwanamke kufika kwenye kilele cha mahaba!

Nakaribisha maoni enu wadau
brazatk@yahoo.com

Wednesday, September 23, 2009

NIMEMPATA NIMPENDAYE NATAKA FUNGA NAYE NDOA JAMANI SIHITAJI MWINGINE!

Naitwa Eric Esron Mungere Naomba ombi langu hilo liondolewe kwenye orodha ya wanaotafuta uchumba maana nmeshampata wangu na tuko mbioni kufunga ndoa mwaka ujao July,2010! kwani nazidi kupata usumbufu sana! Ahsanteni,
Stay Blessed

HONGERA ERIC

nawakaribisha wadau wengine pia waliowapata hao wachumba wasisite kuutangazia umma kama ndugu yangu hapa alivyofanya, zaidi nitaomba uniambie post ilikuwa ya tarehe ngapi ili niitoe na ufurahie mapenzi yako na umpendaye!

Asante sana,
Till then,
tk
brazatk@yahoo.com

Thursday, September 10, 2009

RENATUS MGONGO ANASA KWA ALVERA

WIKIENDI YA TARE 5 MWEZI HUU SEPTEMBA NILIMSINDIKIZA MTU MZIMA R. MGONGO MAENEO YA UPANGA KWENDA KULIPA MAHALI KWA KIMWANA ALVERA HAWA WOTE NI WANATUMAINI WENZANGU TUMAKAMUA WOTE IRINGA NA KUHITIMU MWAKA 2005, MGONGO MWENZETU YUKO TUMAINI IRINGA ANAMWAGA LECTURE SASA NINGEPENDA KUTUMIA NAFASI HII KUWAONYESHA TUJIPICHA HUTU NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA HAWA WENZETU AMBAO WANATARAJIA KUFUNGA NDOA MWEZI NOVEMBER TAREHE 28!

HAPA BIBIE ALILETWA WATU WAMUONE LAIVU TOKA MAFICHONI MANA TULIKAA NA KULA MONDE KWA MASAA KAAM MAWILI HAKUONEKANA WALIBANAAA WAKAAACHIA AHHAHAHAAHHAHHHH (KIDING
)

HAPA MGONGO ANAMVISHA PETE ALVERA; NI KAMA ANASEMA JAMANI NYIE HUKO DIAMOND SHIPPING NA NYIE MANAMMENDE KIMWANA WANGU OLE WENU SIMNAONA NAMVISHA PETE YA UCHUMBA HII, OLE WENU NIWAKAMATE MAANA MIMI NI ZAIDI YA JOHN CENA SIMNAONA MWILI JUMBA HUU, AHHAAHAH TEHHHHH (KIDDING)


DOLIIIIIIIIII DOLIIIIIIIII; MMEIONA EEEEHH HEROHERO NAENDA ZANGU KUANZISHA FAMILIA YANGU (ALVERA HUYO ANASEMA NA MGONGO: KWELI NIMEPATA MKE HEROHEROOOOOOOOOOOOOOOOOO


LUV UUUUUUUUUUUUUUUUUU MWAAAAAAHHHHHHHHHHHHHHHH

NIMEAMBIWA NIFUNGE BLOG HII!

WADAU LEO NIMEKUMBANA NA EMAIL HII KWENYE BARUA PEPE YANGU, NIKAONA NISHEE NANYI WENZANGU KISHA KWAYOYOTE ATAKAYEJISIKIA KUTOA MAONI YAKE AWE HURU NAMI NIYABANDIKA HAPA, ILA MWISHO WA UJUMBE HUU TOKA KWA IBRA MOLLLEL NITAMJIBU KIMTINDO:-

Ndungu yangu messenger zako nimesisoma kupitia blg, lakini Je ungekua unatuma messenger kupitia NENO LA MUNGU, Mungu agekupenda sana na kufurai kwa sababu wewe unawapa watu wake habari njema, Mpendwa ktk Bwana nakushahuri umtafute yesu mapema kabla hajarudi. akakukuta katka mambo ya dunia. na mambo ya dunia hii yana pita lakini NENO LA BWANA halita pita kamwe, Soma yohana 3.16 utaona upendo wa Mungu Baba alivyo tupenda. uwemakini sana, damu ya Yesu isije ikawa ilimwagika buri kwako,

Acha kuwandikia watu mambo ya kimapenzi au kufundisha mapenzi badala ya KUFUNDISHA HABARI ZA UFALME WA MUNGU, BIBLIA INA SEMA KWA MANENO YAKO UTAHESABIWA HAKI NA KWA MANENO YAKO UTAHUKUMIWA,
sasa nimangapi uliyo ya fanya na kufundisha watu wa MUNGU mapenzi badala ya NENO LA MUNGU WAO, KUBALI WOKOVU WA MUNGU UPONE,

Ibrahim Mollel

Brazatk najibu:-
Asante kwa maoni yako bwana Ibra ila naomba uelewe kuwa katika dunia ya leo mamilioni ya watu walioko kwenye uhusiano wa mapenzi na ndoa wana ujuzi wa hali ya chini sana kwa kutojua mengi kuhusu viungo vya uzazi, matendo ya kimapenzi kwa sababu kuu moja, mambo ya jando na unyago hakuna tena! hivyo basi hivi sasa kila mtu hujifunza masuala ya mapenzi kwa kusoma sehemu mbalimbali!

Ibra naamini Mungu hachukizwi kwa mimi kutumia muda wangu kuwapa watu kitu wanapenda kwani shuleni niliposoma nilisoma saikologi of love, relationship na marriage na kama haitoshi mwalimu wangu Mr Nyamubi alinieleza kuwa "ili ujue elimu yako imekusaidia lazima ujuwe kuitumia kwa jamii inayokuzunguka!" akimaanisha kuwa lazima uisaidie jamii yako kwa elimu uliyoipata hivyo hichi ndicho nachokifanya hapa na katu sitakiacha kwani wengi nimewasaidia ndoa zao wanazifurahia na wengine mapenzi yao yaliyokuwa yamewachachia sasa ndoa zinanukia, HAKIka sitaacha kublog masuala ya mapenzi!

IBRA HUYU HAPA KWENYE PICHA KATIKATI NDIYE MR NYAMUBI ( ANAFANYA PHD UD HIVI SASA, MANENO YAKE NDIYO YALIZALISHA BLOG HII, KUSHOTO NI MMOJA KATI YA WANAFUNZI WALIOMALIZA TUMAINI TULLY (AFISA UTALII WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII) NA KULIA NI MIMI WAKATI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA ILIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM MWEZI WA SITA MWAKA HUU.
Ushauri wangu kwako ibra, kwakuwa teknologia ya blog ni rahisi kuitumia, naomba anzisha blog ya neno la Mungu nami nitakuwa msomaji wako namba moja na hata wasomaji wangu nitawashauri kupitia kwenye blog yako na nitaitangaza kwa nguvu zote ili neno lako liwafikie wanajamii!

NB: Katika miaka takribani 4 niliyojihusisha na shuguli hizi za kutoa ushauri wa mapenzi, uhusiano na ndoa kama ungekuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mada mabalimbali nilizokuwa nazitoa magazetini (Ijumaa, Risasi, Amani na kwenye mtandao wa Global Publishers) utagundua kuwa ndani yake nimekuwa nikitumia maandiko ya dini hasa ya kiislamu na kikiristo hivyo nazani kwa nafasi yangu hapo inatosha.

NASHUKURU KWA USHAURI WAKO IBRA LAKINI NASIKITIKA SITAWEZA KUFANYA HIVYO, MUNGU AKUANGAZIE NURU YAKE NA KUKUPA UJASIRI WAKUTHUBUTU KUANZISHA BLOGU YA MAMBO YA DINI!